Natafuta mlango mzuri wa Grill

Natafuta mlango mzuri wa Grill

kimanganuni

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2015
Posts
324
Reaction score
170
Habari za sa hizi wadau,

Nipo katika ujenzi. Napata shida kupata mlango mzuri wa grill/ chuma. Dable door.

Wadau naomba mwenye picha atupie
 
Habari za sa hizi wadau
Nipo katika ujenzi. Napata shida kupata mlango mzuri wa grill/ chumA. Dable door
Wadau naomba mwenye picha atupie
karibu nikuuzie security steel doors

IMG-20210415-WA0058.jpg
IMG-20210415-WA0057.jpg
 
Tembelea page ya mbega_hardware_weldworks instagram ana milango mingi design tofauti unachagua unayohitaji
 
Umeshapewa contact bado unataka bei,hata nikikuambia bei bado utaniuliza kama wanapunguzo,kwanini usiwapigie mwenyewe kama unahitaji mimi pia ni mteja kama wewe.
[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Habari za sa hizi wadau,

Nipo katika ujenzi. Napata shida kupata mlango mzuri wa grill/ chuma. Dable door.

Wadau naomba mwenye picha atupie
Ukihitaji madirisha makubwa ya PVC kwa bei poa unicheki
 
Back
Top Bottom