Natafuta mlango mzuri wa Grill

kimanganuni

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2015
Posts
324
Reaction score
170
Habari za sa hizi wadau,

Nipo katika ujenzi. Napata shida kupata mlango mzuri wa grill/ chuma. Dable door.

Wadau naomba mwenye picha atupie
 
Tembelea page ya mbega_hardware_weldworks instagram ana milango mingi design tofauti unachagua unayohitaji
 
Umeshapewa contact bado unataka bei,hata nikikuambia bei bado utaniuliza kama wanapunguzo,kwanini usiwapigie mwenyewe kama unahitaji mimi pia ni mteja kama wewe.
[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Habari za sa hizi wadau,

Nipo katika ujenzi. Napata shida kupata mlango mzuri wa grill/ chuma. Dable door.

Wadau naomba mwenye picha atupie
Ukihitaji madirisha makubwa ya PVC kwa bei poa unicheki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…