Natafuta Mlango wa Aluminium USED niweke kwenye Fremu yangu.

ntunga

Member
Joined
Sep 15, 2014
Posts
16
Reaction score
9
Habari wana jamnvi, mwenye mlango wa Aluminium used ani-PM tuongee biashara.
 
Haya hembu angalia hapa huu.Lete pesa hiyo upate kitu dhamana sio scraper

Ni wa Futi 12 kwa 8,
Juu Vioo Vyeupe chini vya Blue,ni wa kisasa kabisa
Na haujawahi kutumika kabisaa,maana Frame ilikuwa mpya na haijaanza kazi.Lengo la Kuuza ni kwamba Frame zinabadilishwa matumizi.
 

Attachments

  • a.jpg
    7.3 KB · Views: 90
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…