Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Why awe na elimu ya chuo kikuu?Elimu yangu ni chuo kikuu na nina mtoto mmoja na nina miaka 31.mme awe na elimu ya chuo kikuu,miaka 35 and above,mkristu na awe mweusi na mrefu kiasi.aniPM
Hahaha fisi bana!uliniambia umeshapata nilipo kupm ulipojitangaza last wiki. Umemwagwa tena? Sio bure una kapepo. Ushindwe na kushindikana.
Mie nina vigezo vyote!pia nina kigezo cha ziada.Na pia nina masharti yangu pia.......jee unajua kupepeta mchele vema?Elimu yangu ni chuo kikuu na nina mtoto mmoja na nina miaka 31.mme awe na elimu ya chuo kikuu,miaka 35 and above,mkristu na awe mweusi na mrefu kiasi.aniPM
More terms madame,jee ukiwa taifa unaliaga au unapigaga vigeregere?Elimu yangu ni chuo kikuu na nina mtoto mmoja na nina miaka 31.mme awe na elimu ya chuo kikuu,miaka 35 and above,mkristu na awe mweusi na mrefu kiasi.aniPM
More more,jee zile za kimasai zivaliwazo chini ya kitovu unavaaga?jee unamwanya pia?unatumia aina gani ya manukato?unapendelea makufuri ya rangi gani vile?kiuno chako saizi ngapi?Elimu yangu ni chuo kikuu na nina mtoto mmoja na nina miaka 31.mme awe na elimu ya chuo kikuu,miaka 35 and above,mkristu na awe mweusi na mrefu kiasi.aniPM
More again!Elimu yangu ni chuo kikuu na nina mtoto mmoja na nina miaka 31.mme awe na elimu ya chuo kikuu,miaka 35 and above,mkristu na awe mweusi na mrefu kiasi.aniPM
Unaji over value mno... Una mtoto tayari halafu una masharti ya "mweusi... mrefu... mkristu..." thamani yako sasa hivi ni kama gari lililotumika na kupata ajali, huwezi kuliuza kama jipya...Elimu yangu ni chuo kikuu na nina mtoto mmoja na nina miaka 31.mme awe na elimu ya chuo kikuu,miaka 35 and above,mkristu na awe mweusi na mrefu kiasi.aniPM
Mhhh!u mean like a used imported car from over sea huh!!Unaji over value mno... Una mtoto mmoja halafu una masharti ya "mweusi... mrefu... mkristu..." thamani yako sasa hivi ni kama gari lililotumika na kupata ajali, huwezi kuliuza kama jipya...
bora lingekuwa used imported, hili ni used la hapa hapa kitaa, halafu unataka kuliuza kwa bei mbaya.Mhhh!u mean like a used imported car from over sea huh!!
Elimu yangu ni chuo kikuu na nina mtoto mmoja na nina miaka 31.mme awe na elimu ya chuo kikuu,miaka 35 and above,mkristu na awe mweusi na mrefu kiasi.aniPM
Natafuta rafiki wa kike ambaye nitampenda na kumjali, kubadilishana mawazo, company na kusaidiana katika mambo ya maisha.
Sifa zake:
- Awe na Umri usiopita miaka 40
- Awe na umbo zuri na sura ya kuvutia na uzuri wa asili
- Awe na tabia njema na asiwe na tamaa
- Awe ana ndoto za maendeleo na mitazamo chanya katika maisha na anayejiamini
- Awe na Elimu ya kuanzia ngazi ya Diploma - PhD
- Awe tayari kupendwa na kupendeka, kudekezwa na kudeka
- Awe tayari kwa uhusiano wa muda mrefu kama tutaelewana
Sifa zangu:
- Umri wangu miaka kati ya 45-50
- Elimu yangu: Shahada ya Uzamili
- Kazi: Nimeajiriwa na Kujiajiri
- Sina mke
- Nina watoto wawili
Ambaye yuko seriously tuwasiliane kwa PM au barua pepe gentleman.waukweli@gmail.com
PM na barua pepe zote zitajibiwa 24X7 kwa walio seriously