Natafuta mme wa kunioa

njoo PM ila tu kama utaweza mashariti yanngu na uko sehemu gani kwanza
 
Kama unafikiri kuolewa kutapunguza ugumu wa maisha futilia mbali hayo mawazo,sijajua umewaza nini,ushauri wangu hauna tofauti na wote wenye mapenzi mema kwako achana na mawazo ya kuolewa kwa sasa ebu mkuze kwanza uncle,usipokua makini uakuta mpaka mtoto anaacha kunyonya amebebwa na baba wasiopungua 3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…