Natafuta mme wa kunioa

Alizoea kupigwa na ukuni kila wakati sasa hiyo ndiyo shida kuu kwake.
Ushauri mzuri ila haumfai kwani ni mwenye njaa kali. Hiyo nayo ni sampuli.
 
Hapa ndoninapokuja kuamini kuwa lait mungu asingewaumba wanawake na **** basi wangepata shida sana maana wasingekuwa na kitega uchumii.Iv wewe uzalishwe na MTU mwingine then unipe majukumu Mimi?yani unaingiaa uwanjan timu pinzani taar inagoli mojaa apanaa kwa kweli pambana tuu dadang
 
Mie ni msichana na umri wa 23 pia nina mtoto mmoja ana miaz6 nimezalishwa tu na mtu alonizalisha hanitaki na ictoshe ameoa mwanamke mwingine....kwaiyo atakae kua tayar kunioa na tuishi kwa amani nipo tayari
Sawa... Mambo vipi
 
Siungesubiri mtoto aache ziwa kwanza ??miezi 6 sibado unanuka maziwa ?haraka yanini ?..
Majibu yenu Sasa
Ila hata mimi ningeshauri atunze Na anyonyeshe kwanza mtoto
Walau afikishe miaka 3 au 2
Ndo aanze
Mana nijuavyo mwanaume atakayempata cha kwanza ni kuanza kumuomba.
Sasa itakuwaje??mtoto atabemendwaa bure
hata kama anataka wa kumsaidia maisha ajitahidi yy kwanza au Ajitokeze mkaka amsaidie kulea bure bila kumuomba.For the sake of the child.
Halafu baada ya miaka hiyo miwili ndo aanze kumuomba
 
Kwani Mkuu atlist angekuwa namingap na kwa mwanaume atlist awe namingapi ili aoe au kuolewaa
Issue sio miaka mingapi imagen mtoto mmoja tuu ana mpa stress kiasi hicho na kutamani kuolewa ili apate kuliwa zika lkn muda bado wa kutosha hivyo asiwe na papara
 
Mbona juu umemjibu vizuri
Eti njoo Pm
Sasa tena unamponda
Jamani si uwaachee wanaoweza kulea mtoto asiye wako mtamu sana kulea.Mungu anakuongzea
 
Mbona juu umemjibu vizuri
Eti njoo Pm
Sasa tena unamponda
Jamani si uwaachee wanaoweza kulea mtoto asiye wako mtamu sana kulea.Mungu anakuongzea
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu kama nakuona hivi najua hawezi kuja Mkuu maana hawa pasua kichwa ohoo
 
Unataka mume au mtu wa kushinda na mtoto.?maana bado mdogo sana
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu kama nakuona hivi najua hawezi kuja Mkuu maana hawa pasua kichwa ohoo
Sio bwana
Watu wengi mnakariri
Kuzaa ni majaliwa
Wapo wengi waliotoa mimba zaidi ya 5 Yaani mama marehemu.Ni naonaga mdada anayezaa anajitambua Mana kwanza anajiwekea legacy mbele
Mtoto anafariji mtoto ni Kinga ya mbele kuliko wanaotoa mimba .Halafu Na wewe unakuja kujidanganya kwamba nimeoa asiyena mtoto
Anayezaa ni.bora.Kwanza hana dhambi ya kuua kiumbe cha Mungu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…