Natafuta mme wa kunioa

Wanaume wa jf ni wajanja wajanja sana, wanaweza kuomba game akisha toa, anakupiga chini so uwe makini sana..... Usije ukaja na thread nyingine ya mrejesho wa machungu
 
na wapenda slope nao WAPOO!!

Haya dada safari njema ila usisahau kuwa 'WAPOO!!'
 
Dada hakika umu jamvini hutopata mume amini nakuambia
 
Mdogo angu,kama ungeachana kwanza na mambo ya kuolewa hivi,japo ni mambo yako binafsi na ni maamuzi yako,naona unge-focus kumkuza mwanao kwanza akitengemaa ndio mengine yafuate.....
Ni kweli, kwani akimpata mme sasa hivi naye atataka amzalishe, sidhani kama atavumilia mpaka mtoto huyo akue kwanza!
 
Kumbe umemsoma jamaa eh?
Naona kaleta nyuzi zaidi ya 3 anataka mke leo fasta tu kuona tangazo la kutafuta mume kachangamkia fursa.
 
UMEZAA HALAFU UNAJIITA MSICHANA? HALAFU UMESEMA ALYEKUZALISHA HAKUTAK, HII INA MANA KUWA HATMA YA PENZ LENU ANAYO YEY, SKU AKTAKA ANAPEWA.

SITHOLE
 
Mie ni msichana na umri wa 23 pia nina mtoto mmoja ana miaz6 nimezalishwa tu na mtu alonizalisha hanitaki na ictoshe ameoa mwanamke mwingine....kwaiyo atakae kua tayar kunioa na tuishi kwa amani nipo tayari
Hizo mechi za kirafiki hizo ni hatari sana
 
Inahitaji moyo kuoa mweye mtoto, tena mdogo hivo
 
Mie ni msichana na umri wa 23 pia nina mtoto mmoja ana miaz6 nimezalishwa tu na mtu alonizalisha hanitaki na ictoshe ameoa mwanamke mwingine....kwaiyo atakae kua tayar kunioa na tuishi kwa amani nipo tayari
Dah!! Umenikumbusha kuna mdada mmoja nilitaka kumuoa akaniambia sina hadhi,lakini baada ya kuzalishwa akaanza kunitafuta,sasa mpaka najiuliza ile hadhi ambayo sikuwa nayo imetoka wapi.
 
Mie ni msichana na umri wa 23 pia nina mtoto mmoja ana miaz6 nimezalishwa tu na mtu alonizalisha hanitaki na ictoshe ameoa mwanamke mwingine....kwaiyo atakae kua tayar kunioa na tuishi kwa amani nipo tayari
Pole kwa changamoto za maiaha njoo pm tuongee kwa marefu na mapana.
 
Mie ni msichana na umri wa 23 pia nina mtoto mmoja ana miaz6 nimezalishwa tu na mtu alonizalisha hanitaki na ictoshe ameoa mwanamke mwingine....kwaiyo atakae kua tayar kunioa na tuishi kwa amani nipo tayari
Mke wa pili uko tayari??
 
Mie ni msichana na umri wa 23 pia nina mtoto mmoja ana miaz6 nimezalishwa tu na mtu alonizalisha hanitaki na ictoshe ameoa mwanamke mwingine....kwaiyo atakae kua tayar kunioa na tuishi kwa amani nipo tayari
Wew tu mama tupo wengi kwel
 
Mie ni msichana na umri wa 23 pia nina mtoto mmoja ana miaz6 nimezalishwa tu na mtu alonizalisha hanitaki na ictoshe ameoa mwanamke mwingine....kwaiyo atakae kua tayar kunioa na tuishi kwa amani nipo tayari
Heri kua mkweli mapema jamaa akirudi tena akaomba radhi he VP happy huto msamehe kwa siri
 
Nicheki pm lakini kwa tahadhari mke wa kwanza nilimkata mikono yote baada ya kumfumania.
Mke wa pili nilichomfanya naogopa kuandika hapa nisije nikawarahisishia ushahidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…