Natafuta mme wa kunioa

Huyu anaonekana anatafuta mtu wa kumsaidia kulea mtoto.

Hakuna Kitu hapa
 
Kama Baba wa Mtoto yupo tayari kulea mtoto wake tulia kwanza Mtoto akue na wewe utulize akili yako. Sio vizuri kufanya maamuzi ya haraka baada ya kuachwa kwasababu unaweza kufanya kwa hasira, kukomoa, au kulipiza kisasi mwisho wa siku unaweza kuangukia sehemu mbaya tena.

Kuna baadhi ya binadamu huwa hawana huruma wala utu, wanaweza kutumia matatizo yako haya kama fursa kwao. Watakutumia na kukuachia tatizo lingine kisha watakukimbia na usiwaone tena. Na kumtambua mtu mkweli au raghai hasa katika kipindi kigumu kama chako unahitaji sana Neema ya Mungu.

Hivyo, pata muda wa kutulia mlee Mtoto baada ya muda muufaka utafanya maamuzi ya yupi anakufaa ili usije ukaruka jivu ukakanyaga moto.
 
Shida inakuja tokea jamaa mwingine anatokea anakuoa fresh anajitahidi Kwa kadiri ya uwezo lkn mwisho wa siku we utaendeleza mahusiano ya huyo jamaa ambaye kakutosa.Ndiyo shida ya wanawake wengi
 
utawapata tuu wanaohitaji kuoa kwa sasa kua mpole tuu
Tuwe wakweli, atapata mwanaume mwingine wa kumzalisha na kumchezea. Kuwa na mtoto, hamna mwanaume ambaye atampenda bila ya kuwa mnafiki.
Huyo mzazi mwenzio akikuhitaji mida wowote utajipeleka. Sasa hapo nani atakuoa?? No offense.
 
Tuwe wakweli, atapata mwanaume mwingine wa kumzalisha na kumchezea. Kuwa na mtoto, hamna mwanaume ambaye atampenda bila ya kuwa mnafiki.
Huyo mzazi mwenzio akikuhitaji mida wowote utajipeleka. Sasa hapo nani atakuoa?? No offense.
hahhahaha
 
Mie ni msichana na umri wa 23 pia nina mtoto mmoja ana miezi 6, nimezalishwa tu na mtu alonizalisha hanitaki na isitoshe ameoa mwanamke mwingine. Kwa hiyo atakae kuwa tayari kunioa na tuishi kwa amani nipo tayari.
Mbona mapema hivyo wewe dada,mtoto miezi 6 unataka mume mwingine?huyo nae akija ataweka jingine na huenda akalala mbele km huyo mwingine nani ajuaye!japo siombei hilo likutokee tena!ila wadada msiwe mnatoa penzi km peremende mwisho wa siku mnaishia kuumizwa mioyo tu,km mtu anakupenda afuate taratibu aje kwenu ajitambulishe taratibu zifuate kisha hako kamchezo kaanze,sio kjana akishakuambia anakupenda basi umuonjeshe papuchi mnakosea sana,mvumilie hadi ndoa jamani!?
 
Familia ya mtoto mmoja wa Mshana Jr na mwingine wa Kete Ngumu haiwezi kuishi kwa amani. Kuna siku Mshana atataka mtoto wake au atataka kuja home kumuona, hapo amani inakuwa wapi? Pambana na hali yako.
 
Mie ni msichana na umri wa 23 pia nina mtoto mmoja ana miezi 6, nimezalishwa tu na mtu alonizalisha hanitaki na isitoshe ameoa mwanamke mwingine. Kwa hiyo atakae kuwa tayari kunioa na tuishi kwa amani nipo tayari.
Tatzo huwa hamuwasahau watu wenu walokuzalishen.. Huyo jamaa ameoa lkn akiamua awe anakula mzigo ww huchomoi.. sasa ktk ndoa inakuwa tafrani
 
Ngoja nikufate inbox.. Mtoto sio tatizo kwani si tutasubiri ALALE?
 
Umejiunga Jan 15 kwa lengo LA kutafuta mchumba kweli!??
Kila la kheri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…