Watakua wanaiogopa hiyo avatar mkuuWatafutaji wengi humu mnazingua tangu nimeanza kuwafata pm hakuna hata mmoja ambaye amewahi kueleweka hivi mnataka wanaume wa namna gani kwamfano
Watakua wanaiogopa hiyo avatar mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] noma sana mkuuMbona ndio mimi mwenyewe na nipo fresh kama ninavyoonekana hapo [emoji851]
Mtoto ndo kwanza anamiezi 6 halafu wataka kuolewa, mlee basi akuekue angalau afike hata miaka mi3Mie ni msichana na umri wa 23 pia nina mtoto mmoja ana miezi 6, nimezalishwa tu na mtu alonizalisha hanitaki na isitoshe ameoa mwanamke mwingine. Kwa hiyo atakae kuwa tayari kunioa na tuishi kwa amani nipo tayari.
Aisee...Miezi sita unatafuta bwana?
Hawa hawa ha jf wanaopenda papuchi!
Utaibeba nyingine mdogo wangu
Hebu tulia kwanza ujitathmini na usianze mapenzi ukiwa na stress unaweza ukajutia maisha yako yote
TuwasilianeMie ni msichana na umri wa 23 pia nina mtoto mmoja ana miezi 6, nimezalishwa tu na mtu alonizalisha hanitaki na isitoshe ameoa mwanamke mwingine. Kwa hiyo atakae kuwa tayari kunioa na tuishi kwa amani nipo tayari.
Unajifanya mshauri kumbe hutaki majukumuMlee kwanza mtoto akue japo afikishe miaka miwili halafu ndio uanze kutafuta mume wa kukuoa.
Wakati huo natafuta mume jitahidi ujishughulishe na kazi yoyote ili uweze kupata cha kukizi mahitaji ya kila siku
Kwanini ulikubali akuzalishe kabla hajakuoa? Pole lakini watakujaMie ni msichana na umri wa 23 pia nina mtoto mmoja ana miezi 6, nimezalishwa tu na mtu alonizalisha hanitaki na isitoshe ameoa mwanamke mwingine. Kwa hiyo atakae kuwa tayari kunioa na tuishi kwa amani nipo tayari.
Mbna ww bado msichana mdgo fight for your self ndoa inapangwa na mungu usiharakie xna hivo .Mie ni msichana na umri wa 23 pia nina mtoto mmoja ana miezi 6, nimezalishwa tu na mtu alonizalisha hanitaki na isitoshe ameoa mwanamke mwingine. Kwa hiyo atakae kuwa tayari kunioa na tuishi kwa amani nipo tayari.
Usingo mother je?we si uliona ufahari kuzalishwa.. Yako kachanga chako akilee nani?Mie ni msichana na umri wa 23 pia nina mtoto mmoja ana miezi 6, nimezalishwa tu na mtu alonizalisha hanitaki na isitoshe ameoa mwanamke mwingine. Kwa hiyo atakae kuwa tayari kunioa na tuishi kwa amani nipo tayari.
Sio lazima ucomment kila kitu .Anahitaji faraja.Na tumshukuru mtoto hajamtupa mpaka SasaUsingo mother je?we si uliona ufahari kuzalishwa.. Yako kachanga chako akilee nani?