Natafuta mme wa mtu.

Status
Not open for further replies.
Baba katika jina la yesu, naomba shusha nguvu na uweza wako wa ajabu, onesha uwepo wako ewe mfalme wa rehema... uende ukapondeponde na kusaga mioyo ya watu hawa geuza nira zao zikugeukie wewe, moto wako uwashukie na kuondoa ibilisi ndani yao wafungue eee mungu wajue maisha yakweli yapo mbinguni na sio kwenye starehe za muda tu hapa duniani, Shusha baraka zako mungu ukawakomboe zidi ya moto wa hukumu ya siku ya mwisho...... Aaaaaaamen
 

heheheheeeee nimecheka sana, hongera baba mchungaji umenikumbusha enzi za mzee kifimbo cheza.
 
Nyie ndio mnasababisha tusiwaamini kina mama chanja wetu
 
hapa napita tu mke wa mtu umepima?
 
Mi ni mke wa mtu natafuta mme wa mtu wa kunipunguzia stress na kunipa ushaur

Mume wa mtu wa nini bana utaishia kumwagiwa tindi kali na siku hizi watz ni maexperts kwenye hiyo shughuli. Wewe zama JF soma majukwaa yote thread zote kama bado utajihisi una stress the only way out itakuwa sala na kufunga. Ushauri wa JF hakuna pengine
 
Hapana sikuondoka bado niko na mume wangu kuna mabadiliko nayaona nampenda sana mume wangu.
Kwa hiyo ulikuwa unatishia nyau..?? Kwani kumpenda umeanza baada ya kuwa unataka kuondoka...?? HONGERA KWA MAAMUZI MAZURI, ILA USIRUDIE TENA, AKIKUZOWEA KWAMBA WEWE WA SITAKI NATAKA, KUNA SIKU ATAKUACHA JUMLA, HALAFU UJE HUMU KULIA LIA
 
Ngoja ukutane na mmeo humu. Unajua atakayeku-pm ni nani? Utashangaa na roho yako siku utakayofanya appointment ya kukutana na huyo mme wa mtu halafu unajikuta unakutana na mmeo. Utalia na kusaga meno!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…