BRUCE LEE JF-Expert Member Joined Dec 11, 2010 Posts 2,096 Reaction score 1,334 Jul 1, 2017 #121 PROF NDUMILAKUWILI said: Baba wa mtoto wako yuko wapi na tatizo nini hadi mkatengana? Click to expand... swali zuri sana nami nasubiria majibu yake maana siku hizi imekua kama fashion halafu mwisho wa siku mnajikuta mnamgonga wote
PROF NDUMILAKUWILI said: Baba wa mtoto wako yuko wapi na tatizo nini hadi mkatengana? Click to expand... swali zuri sana nami nasubiria majibu yake maana siku hizi imekua kama fashion halafu mwisho wa siku mnajikuta mnamgonga wote
No Escape JF-Expert Member Joined Mar 7, 2016 Posts 6,663 Reaction score 7,785 Jul 1, 2017 #122 Hawa masingle mother wanakuwaga wazuri sana! Kasoro yao moja Tu,Hawawezi kuachana na wale jamaa zao yaani hapo tu wanaharibu.
Hawa masingle mother wanakuwaga wazuri sana! Kasoro yao moja Tu,Hawawezi kuachana na wale jamaa zao yaani hapo tu wanaharibu.
Yellow bone JF-Expert Member Joined Jun 13, 2017 Posts 256 Reaction score 329 Jul 1, 2017 #123 Wangap umepata mpaka sasa huko pm..?mme wa mkwel mungu atakupa lakin lazima uwe umejiandaa kuwa mke bora pia.be blessed
Wangap umepata mpaka sasa huko pm..?mme wa mkwel mungu atakupa lakin lazima uwe umejiandaa kuwa mke bora pia.be blessed