Natafuta Mme !

Idadi ya wanawake wasomi wasioolewa inaongezeka na mjue hawa madada ni wabaguzi wa kiwango cha juu.
Sisi wanaume wengi ambao elimu ipo juu, huwa hatuna ubaguzi eti kumtafuta mke mwenye masters au any other qualifications than care and love dedicated.

Watatafuta sana waume wenye PHD wasione halfu wakiwapata watakuwa wamekuwa kama gunia la mkaa.
 
Jamani ehh,
Kwanza dada yangu Mwadila/mwangaluka. Hivi jamani si imesemwa kuwa lazima malengo yako yawe makubwa na hata ukikwama basi unakuwa walau hatua kadhaa chini ya malengo. Akisema awe na master si kusema tu? Mie ningelikuwa sijaowa na sina master basi aka ningelituma maombi yangu. Sema tu kwa Wasukuma ingelikuwa kazi saana maana ng'ombe wote wa Wanyamwezi wameibiwa na Wasukuma. Sasa ukija pata mtoto msomi na mweupe (usiku huhitaji taa) mhh, utabamizwa mahali hiyo na wewe huna kitu. Labda umuwahi mtoto akienda DISCO pale Mwannza na umkimbize na kumuwekea mikono juu huku ukisema "CHAGULAGA MWANA MAYU" yaani chagua mtoto na hapo hii Master sijui hata kama itakumbukwa. Haya msio na mke au wataka kuongeza wa pili changamkieni mtoto huyo, wazazi wenu watapata vijukuu vina nguvu hadi misuli inauma utafikiri vimekunywa yale maunga ya kujenga misuli ....... Ila kama huyu dada angu ni dume hapo kweli kasheshe maana huu mtandao ni kama ule wavu wa kuvulia samaki uitwao KOROKORO? unabeba wanaotakiwa na wasiotakiwa. Lakini ndiyo raha ya Mtandao. Nasikia hata Billy Gates alimpata Belinda wake kwenye huu wavu.
 
Binti Masanja!
Hakika nimefurahishwa na ujasiri wako, lakini kabla sijamba cho chote ninahitaji ufafanuzi wa haya yafuatayo;
1. Je, wewe ni muumini?
2. Je, kwa imani yako ukotayari kujiweka mbali na kumshirikisha Muumba na chochote?
3. Je, unaweza kujiweka mbali na tabia zitakazo weza kukupelekea kuiba?
4. Je, uko tayari kuwa na tabia zitazo kuweka mbali na zinaa?
5. Je, waweza kuahidi kuwa hutoua mtoto utakaye mzaa bila kupanga?
6. Je, unaweza kuahidi kuwa hutoleta uzushi unaoweza kuuzusha mwenyewe baina ya mikono yako na miguu yako?
7. Je, unaweza kumtii mume utakaye mpata katika jambo jema?

Huu ni mtihani mwepesi kwa mwanamke atakaye mume kwa dhati
 
Mwaga wasifu wako ili mume atakayevutiwa nazo ashawishike akutafute.
 

wanawake siku zote wabaguzi sana hebu fikiria hii sera yao ya beijing wakiwa sawa kama wanaume unafikiri itakuwaje mkuu??si hata unyumba wanaume watakuwa wananyimwa majumbani mwao!fikiria huyu anatafuta mwanamme mwenye masters mbona wanaume wanapotafuta vigezo kama hivi havipo kabisa.
Angalia kama JK angetaka mwanamke mwenye degree mama Salma angekula maisha kweli???????
 
Miss. Ng'walu,

Mimi nakupongeza kwa uwamuzi wako wa kutangaza nia ya kutafuta mme, na nina uhakika wapo wanaume wanaoweza kuwasiliana nawe.

Nakuunga mkono juu ya kuweka kiwango cha elimu kwani usije ukampata mme mbumbu ktk nyakati hizi za dunia hadaa.


Ushauri wangu mdogo tu katika kuboresha tangazo lako labda ungeondoa kipengele cha Masters degree bali weka kiwango general cha elimu kwa mfano degree holder au kuanzia diploma, pia ni ukweli kuwa kusoma sana siyo kuwa mwerevu zaidi bali ni muhimu kuwa na elimu ya kukuwezesha kutambua mambo yanayotuzingira ktk dunia yetu hii.
 

NA MIMI NATOKA MWAMASALALA NG'WANZA, ELIMU YANGU NI MASTERS YA BUSINESS ADMINISTRATION TOKA COLUMBIA UNIVERSITY UMRI WANGU NI MIAKA 34, SASA HIVI NAFANYA KAZI HAPA NEW YORK KWENYE STOCK MARKET. KAMA UNA VIGEZO VIFUATAVYO NITUMIYE INFORMATION ZAKO kokolo1@yahoo.com

VIGEZO/QUALIFICATIONS:
1: LAZIMA UMBO LAKO LIWE NUMBER 6 SIYO 8 OR 9 OR 1
2: MIGUU KAMA CHUPA YA BIA
3: USO UWE MZURI, NA MIDOMA MIPANA
4: HIPS ZIWE PANA KIASI
5: ELIMU: UWE MWEPESI WA KUELEWA MAJUKUMU YAKO
6: USIWE NA TAMAA SANA
7: USIWE KAMA MAMA MKAPA (MRAMBA & MKAPA)
8: UMBO LAKO LISIWE LA KUNENEPA SANA, MAANA UKIJA HAPA UKILA KUKU
NA BUGGER SITAKI UWE KAMA BLACK AMERICAN.
9: UWE BIKILA
10: USIWE LIMBUKENI UKIJA HAPA NY NA KUONA MAGARI MENGI YA KIFARI
NATAKA LILE NATAKA HILI

KAZI KWAKO MCHUMBA MUTEGEMEWA
 

Hahahaaaa kwi kwi kwi, naona unatafuta BIKIRA. Sijui hata kama huyu Binti Masanja atakuwa BIKIRA.
 
bangi zimepanda kichwani sasa
aliyeanzisha haya ni Ngw'alu
 

Hawa wataendelea kuwa MANUNGAYEMBE.
 

Re: Natafuta Mme...!

mme unamaanisha mwanaume?... au mume?

 
kwa kweli naamini mme wangu yumo hapa!nimefunuliwa kabisa!msifikiri nimeandika kwa kucheza hapa!mimi naamini MUNGU my husband is here!

nitamfahamu tu mme wangu!naamini yupo hapa!im serious!nitaondoka muda si mrefu on line naacha tena my mail add nmasanja1@gmail.com

...unamtafuta 'mme' wako hapa? naye ni 'addicted' member humu?

Karibu, naamini ujumbe umefika;

halafu SteveD mbona umesisimkwa, kulikoni mkuu? ha haa...
 
Jamani dada yetu inawezekana kabisa yuko serious na labda ni binti wa maana tu ambaye ana sifa zote za kuwa mke wa mtu.

Ngwalu weka basi na wewe kisomo chako na uko wapi duniani na unafanya nini. Hivyo vinaweza kuongeza idadi ya wale wanaotaka kukuchangamkia. Dunia ya leo siyo ile ya mwaka 47. Mimi sioni ajabu yoyote kutafuta mchumba kwenye mtandao. Nimeshaona Watanzania wengi hasa walio nje na wanaotaka kuoa au kuolewa na Watanzania wenzao wanafanya hivyo. Nafikiri baada ya miaka michache hili la kutafuta mume/mke mtandaoni litakuwa la kawaida.

Mods mbona mmefungia huyu binti? kafanya nini cha kustahili kufungiwa? Mwacheni ajaribu bahati yake jamani.
 
stori imeisha kaamua kubadili msimamo na kaamua hata JF kuhama. kaja asaidiwe aliyoyakuta yamemkirirhi.

ila nna wasi wasi na ukweli na userious wake kama mkweli mungu ampe kwa njia nzuri mwenza wake wa maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…