Natafuta mme

smoerish

New Member
Joined
Jul 18, 2019
Posts
3
Reaction score
5
Habari, natafuta mume ambaye yupo tayari kupendwa kwa dhati ambaye ni muaminifu na yupo tayari kwa mahusiano ya kweli.na umri wa miaka 26..
 
mimi nipo tayari, napatkana dar, kwa maelezo zaidi nicheki pm
 
Habari, natafuta mume ambaye yupo tayari kupendwa kwa dhati ambaye ni muaminifu na yupo tayari kwa mahusiano ya kweli.na umri wa miaka 26..

I wish upate hitaji la moyo wako!

Wanaopendwa hawataki and vice versa,dunia sio fair kabisa!
 
Nina miaka 25 njoo Pm nikupe full details
 
Habari, natafuta mume ambaye yupo tayari kupendwa kwa dhati ambaye ni muaminifu na yupo tayari kwa mahusiano ya kweli.na umri wa miaka 26..
Tatizo umri umeenda nimekosa nafasi hiyo.
Ukiongeza umri niambie nijaribu
 
Mkuu wewe huna vigezo kama
Dini
Kipato
Urefu
Rangi
Blood group
Rangi ya macho na nywele
Aina ya gari analotumia
Kabila
Mkoa anaotokea
N.k
 
Habari, natafuta mume ambaye yupo tayari kupendwa kwa dhati ambaye ni muaminifu na yupo tayari kwa mahusiano ya kweli.na umri wa miaka 26..
Hapa nadhani sasa ni muda wangu wa kutangaza nia ili 2020 isinipite.

Njoo pm tuongee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…