Natafuta mnunuaji wa maharage ya njano gololi na combart

MEGATRONE

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2014
Posts
1,140
Reaction score
2,141
Habari zenu ndugu zangu!
Natafuta mnunuaji wa maharage ya njano gololi na combart! Anayehitaji tuwasiliane kwa mawasiliano:
0672473087
 
Una kiasi gani kwa kila aina na pia weka bei hapa.
Huko inbox ni kujadili mawasiliano na mengine madogo madogo.
 
Una kiasi gani kwa kila aina na pia weka bei hapa.
Huko inbox ni kujadili mawasiliano na mengine madogo madogo.
Njano gololi gunia 33 bei Tshs 2800/kg
Combart gunia 8!
Kama unahitaji zaidi ya hizo unapata pia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…