Nchiyanguu
JF-Expert Member
- Sep 3, 2021
- 320
- 626
Unauzaje nna mashine dar itakua rahis na chalinze ni karibu
Huna sehemu ya kuyahifadhi au una changamoto inayohitaji pesa?
Kama unapata sehemu ya kuhifadhi na huna changamoto ya kifedha, nakushauri yaweke dawa uyahifadhi uje uuze Bei nzuri mwezi wa kwanza au wa pili.
Boss wangu umeshauza mahindi au bado yapo??