NATAFUTA MNUNUZI WA MAHARAGE(Urambo aka Makaranga)

Charlie91

Senior Member
Joined
Jul 15, 2013
Posts
122
Reaction score
50
Wasalaam
Ninauza maharage gunia 10 zinaweza kuongezeka kama kuna uhitaji mkubwa.

Location
Yapo Laela(Rukwa) ni umbali wa 90s Km kutoka Tunduma kuelekea Sumbawanga.
Barabara ni lami mpaka yalipo.

Price
Serious buyer anifate inbox (PM) tuongee.

Matumizi
Maharage hutumiwa kama chakula n.k yana sifa ya kutokuleta kiungulia (Heart burn) kwa walaji.

Karibuni nyote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah Hongera Sana Sana aiseeee, umenikumbusha mbali Sana Sana Laela, Mtowisa, Kaburi Wazi, Mambwemkoswe, Mwimbi, Wampembe na kwingineko na ile dawa ya mambo yetu "Misiwampembe"

Back to topic, Hongera Sana Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…