Sungura kiukweli wana soko sana lkn si kwa bei hiyo ya 20,000. Ninawafuga na kuwauza sana hawa viumbe kwa 8000 - 10000 kwa sungura. Hata wakiwa 300 kwa 10,000 ndan ya siku moja nshawauza na kuwamalizaHana tofauti na yule aliyefugishwa mojoka na muwekezaji akimuahidi soko huko ughaibuni, sasa mijoka imekuwa soko hakuna muwekezaji katoweka kusiko julikana na mijoka inataka kummeza mfugaji.[emoji16] [emoji16] [emoji16]
Huku nilipo 5000, unabeba sungura. Hiyo bei ni ya kwenye vitabu, kuna ujinga flani hv vijana huwa wanapandikizana na kujidanganya utaskia "nikiuza mpigo mmoja tu nishanunua kiwanja na msingi naanza kujenga". So lazima aje kichwa kichwa na bei hizo.Sungura kiukweli wana soko sana lkn si kwa bei hiyo ya 20,000. Ninawafuga na kuwauza sana hawa viumbe kwa 8000 - 10000 kwa sungura. Hata wakiwa 300 kwa 10,000 ndan ya siku moja nshawauza na kuwamaliza
Anashauriwa apunguze bei atafutiwe soko....ni kweli sungura ana soko sana kuna jamaa anauza nyama yake kilo 8000. Sungura akilishwa vizur anafika 2kg hivyo jamaa anachukua kwa 8000 - 10000 ili nae apate faida maana hapo kuna cost nyingi mpaka auze hiyo nyama.Nilisikia sungura wana masoko kedekede... Ukifunga utajiri nje nje.. Sasa nashangaa kuona jamaa anahangaika kupata soko.. Au ndo kilimo cha whatsapp
MAVUZIwewe mzee unafuga nini?
Hiyo ni bei ya mbuzi wawiliDuu Mbona sinza Africa sana pale sokoni wanauza sungura 1 kwa 120,000
NotedHabari wadau, ninauza Sungura, ninapatika Dar Maeneo ya Kitunda jumla ni watano, being 20,000/kwa kila mmoja. Karibuni.