master of cities
JF-Expert Member
- Mar 14, 2015
- 429
- 625
Wakuu kwema natafta movie Kali za kijasusi , ikiwezekana wazee wa black market wawemo , drug dealer , kusalitiana na kugeukana , bila kusahau kuwe na vyuma ( risasi) za kutosha , movie ziwe angalau zimechezwa kuanzia mwaka 2005-2022...
Nikipata za kichina itapendeza zaidi mana wale jamaa huwa wanapasuana kweli kweli.... Vyote vyote tuu iwe short movie au series , japo napendelea Sana short movie mana mi mvivu wa kufatilia series istoshe mabando yamepanda
Msaada wenu wakuu