Too late.......niko naye busy kwenye PM tayari...... Nshakwambiaga unoko hausaidii. Ishakula kwako mazima sasa!
Nilikuwa narejelea hapo penye nyekundu. You can only feel he is perfect, you can never know....or you can believe he is perfect but you can never know that he is.
Niko darasani .........:]]
Ktk Mapenzi we go more with insticts which may be right or wrong.... Na ndo maana kuna umuhimu wa compromises... Na ndo maana kuna kutengana (pale the both of u mnaporealise u ar not meant kua)... That is why i used the word 'feel', for that is exactly the way i am feeling rite now - thus living the moment.... Kwamba yupo completly perfect? NO... Kwamba i feel he is perfect for me with his 'Imperfection'?? YES.... Thus the feeling.... Of him being PERFECT....
We are on the same page there .....its about feeling and not about knowing
Unachosahau ni kuwa huwa tunacheat na hao hao wanawake.......... Even cheaters need to be loved LOLKinachofuata ni kuwafundisha wanawake roho ngumu tu. Jamaa akicheat once hamna msalie mtume unamrudisha kwao na mabegi kichwani
Unachosahau ni kuwa huwa tunacheat na hao hao wanawake.......... Even cheaters need to be loved LOL
Unachosahau ni kuwa huwa tunacheat na hao hao wanawake.......... Even cheaters need to be loved LOL
Mkiona wake zenu wanawafukuza wakijua kuhusu vimada mtaacha kuwa na nyumba ndogo.
wishful thinking... Si atahamia huko huko... Labda if he is nt worth it...
Ndio maana Nyani Ngabu akawa confused. Wanawake hamna msimamo na wanaume wanachukua advantage hiyo. Unadhani yeye ajue una mtu nje atakusamehe?
Sio kama duniani kuna mwanamme mmoja tu, akicheat mtimue baada ya kuchikua nusu ya Mali yake na child support. Itakuwa funzo kwa wengine
Ni adabu wanayopewa nchi za nje, na imesaidia sana
Btw sielewi mtu anaekuwa na nyumba ndogo anakuwaje na "worth"
Ubishani mkubwa ulitokea kushindwa eleweka na Ngabu na Masaki among others... I kno for a fact umesoma the whole thread hivo itakua rahisi... Gaijin kuna cheating... Nyumba ndogo is one of the form... I can not stand nyumba ndogo... But kama mme wangu ni worth it i can stand it if he has cheated (isiwe ni nyumba ndogo wala isijirudie; yaan mayb for the 2nd time).. Hio ndo tofauti... Maamuzi sio absolute... Inategemea a lot of underlying factors... If u stil don't get it plz tell...
haya sasa vidume changamka
Wewe unakubali za mara moja au mbili, mwengine anajustify mume kuwa na nyumba ndogo, kwangu hakuna tofauti.
wanaume hatutongozwi,huwa tunatongoza!
Nini kinaendelea ba ndugu??
Naona dalili za mapinduzi somewhere!!!
Mhh!! Jamani CarmelHaya sasa...almost mwaka umepita tangu nilipojitokeza hadharani na kupinga Infidelity lakini nashangaa na kushindwa kuelewa kwa nini watu kama kina The boss, Asprin, Kaizer, Rejao, Teamo.........................bado wanaithamini na kuitetea pamoja na kutoa guides na rules kila kukicha.
Sasa kwa hasira nilizopata...natangaza kutafuta nyumba ndogo na mimi pia ili nilipizie kisasa wanawake wenzangu wote wanaokumbwa na kuudhiwa na tatizo hili...lyani niko kwenye mgomo.
Hata hivyo lazima awe na sifa hizi(rejea wakongwe wa rules and guidelines)
1. Awe handsome kumzidi mume wangu (kabla hujaaply mtafute wangu umuone)
2. Awe na pesa kumzidi mume wangu
3. Awe na uhakika perfomance yake inamzidi wangu
4. Asiwe na mtoto wala mke
5.Asiwe bahili (awe na moyo wa kutoa au kuhonga)
Masharti mengine ntayatoa kwa muhusika.
Haya maombi yanakaribishwa. Na kwa wanawake wenzangu msijali nawalipia kisasi L.O.L.