Natafuta mpango wa kando

Mzee DC... Kila kitu hapa ulimwenguni kitapinduliwa na mwanadamu kwa ujanja ama kualazimisha kwake... But a WOMAN will always be a woman.... AND a MAN will always be a Man....

Mbona sasa Matangazo yenu (Carmel and ADii) yanapingana na hiyo assertion???
 

wewe hukumuelewa NN kabisaaa
yeye ndo hataki ndoa kabisa...anataka maziwa for free na mkiachana
hakuna kugawana mali nusu...NN naona anawaingiza mkenge humu kirahisi....
 
wewe hukumuelewa NN kabisaaa
yeye ndo hataki ndoa kabisa...anataka maziwa for free na mkiachana
hakuna kugawana mali nusu...NN naona anawaingiza mkenge humu kirahisi....

Hapana

Alichokisema NN kwenye thread yako sikijui, ninachojua kuwa Masaki na Nyani Ngamu wameshangazwa na wanawake kutaka kucheatiwa with dignity.

Ile ya kutafuta sababu kibao ujiridhishe kuwa ni halali kucheat kwake.

Mtu anapigia kelele nyumba ndogo lkn anasema infidelity is inevitable nae atasamehe!

Hawaeleweki
 

Gaijin umenielewa vyema kabisa! Sasa hebu ona huyu Nyumba Kubwa anavyosema hapa chini.

 
Gaijin umenielewa vyema kabisa! Sasa hebu ona huyu Nyumba Kubwa anavyosema hapa chini.

Hawaeleweki kabisa.

Wanatoka vipovu kupinga nyumba ndogo lkn wapo radhi machangudoa au wanawake wa mpito wahusike.

Lakini nadhani zaidi ni kutafuta justification ya weakness zao tu. Kuwa hawawezi kuondoka kwenye comfort zone zao hivyo hukhiari kujusty cheating ili comfort zone isiterereke
 
@Carmel.Mmmm naenda kusema kwa baba tena inaniuma kwa sana.NILIFIKILI HUU MWIMBO HAUNA MAANA.
 
NN naomba utoe msimamo wako kuhusu ndoa
why unaona ndoa ni magirini....hiko ndo nilitaka Gaijin akisikie...
kwangu mimi na wengi kwa faida ya jamii ni bora wawepo akina Nyumba Kubwa weengi
kuliko akina NN ambao kwa kuwa 'hakuna perfect marriage'
basi ndoa zisiwepo...
 

Ni magirini kwa sababu zifuatazo:

Unafunga ndoa na mtu tena kwenye nyumba ya maombi na "mbele" ya mungu na mashahidi wengine. Mnalishana viapo vya uaminifu baina yenu.

Halafu unakuja unasema unapinga mambo ya nyumba ndogo lakini kwa wakati huo unasema mumeo kuwala machangudoa ni sawa. Au unadiriki kusema kuwa huna tatizo na mumeo kutoka nje ya ndoa yake ili mradi tu atoke kwa heshima!

Sasa Boss najua wewe ni smart guy. Usiniambie huoni contradiction hapo. Viapo vya uaminifu vya nini sasa kama watu mnajua fika hamuwezi kuvitimiza? Mnamdanganya nani mnapovila?

Ndiyo maana huwaga nasema mimi namheshimu sana Oprah. Yeye na mwenzake wameamua kutokuoana kabisa. Pia nawaheshimu sana watu walio na mahusiano huria (open relationships). Manake hakuna longolongo wala ujanja ujanja. Angalau hapo wote mnakuwa mnajua mko kwenye ukurasa mmoja.

Haya ya kuapa kuwa waaminifu halafu mnashindwa kuwa waaminifu huku wenza wenu wakiwapa pass za 'dignified cheating' na 'one night stands' makes no sense to me hence rendering marriage to be full of magirini.
 

unajua funny thing ni kwamba 'understanding' yako ya ndoa im base kwenye 'christianity' teaching..
tena wewe ambae huamini katika christianity.....na hao akina Oprah pia.....

but ndoa kwa sisi wengine ni zaidi ya kiapo...
kile kitendo tu cha kuishi na mtu kwa miaka ni ndoa tayari...

so hata huyo Oprah yuko kwenye 'ndoa' lakini haelewi.....
 

Angalau yeye na mwenzake wamejiwekea makubaliano yao wenyewe. Si hawa wengine ambao hutuchangisha fedha zetu ili washerehekee mwanzo wao wa ndoa halafu wanashindwa kutimiza matakwa yote.

Mambo ya polygamy mimi siyapingi ili mradi tu wahusika wote wawe wameridhia kwa hiari zao. Sipendi mimi kuchangia harusi za watu ambao hawaamini katika matakwa ya ndoa na ndiyo maana huwa sichangii kabisa. Nimeshagakataa na watu siku hizi hata hawajisumbui kunitumia kadi zao za michango.
 

but unakubaliana na mimi kuwa kuna 'ndoa' za aina nyingi???
labda nikupe 'home work' moja....tafuta wataalam wa dini ya kiislam
waullize exactly maana ya maneno wanayoyatumia kufungusha ndoa..
na ukiweza pia tafuta ya wahindu,budha ,wayahudi na wengineo...

nakupa mfano kwa waislamu,kufungisha ndoa ni kutoa ruhusa tu ya mahusiano...full stop...
hakuna till death do apart wala nini....
 

Kwamba ndoa zipo za aina nyingi hilo halina ubishi. Na mimi binafsi siwagombi wale ambao wanaamini katika ndoa zenye wake zaidi ya mmoja au vice versa.
Lakini hata kwenye ndoa kama hizo mume akienda nje zaidi ya hao wake zake bado si sawa. Ni usaliti tu.

Na mke kukubali mume acheat kwa heshima au acheat na changudoa bado si sawa. Ukiongeza kuwa ni sawa mume acheat lakini asiweke kambi kabisa mithili ya nyumba ndogondiyo kabisaa wanakuwa hawaeleweki!
 

ndo maana nikakwambia definition ya 'cheating' nayo haiko moja...
pata mfano huu.....HAMISI ambae ni single anamtokea Khadija...wanaanza mapenzi...na sex kabisa...
mwisho wanaoana.....Baada ya mda HAMISI anamuona Husna..na wanaaanza mapenzi....WATU mnaanza oohh
ana cheat...HAMISI labda anataka Husna awe mke wa pili kama KHADIJA....na anaanza kama alivoanza kwa Khadija
kwamba mwisho labda atamuoa......sasa hapo 'cheating' ipo wapi?????
 
Hivi tumefikia wapi tena? Nilikuwa busy nareview applications maana waombaji ni wengi kama waomba kazi...sasa natafuta panel ya interview...tafadhalini sana ambaye yuko tayari kunisaidia kazi hii

aisee Papaa msofee atakufaa?? he like dem ndogoz though
 

halafu mwalimu... naona unaanza kutoka povu sasa

Wuuusaaaaaaaaaaaa, wuuusaaaaaaaaaaa.....
breath in....breath out..........
 

Heheheee Boss bana. Hapo wa kulalamika kama kuna cheating ni Khadija. Lakini kama Khadija karidhia sisi wengine inatuhusu nini? Mimi ni muumini mkubwa sana wa individual freedoms.

Kwa hiyo kama Khadija karidhia na kama Husna hana tatizo na Khadija sasa sisi wengine tatizo litoke wapi? Sioni ubaya wowote hapo unless Khamis anafanya siri kutoka na Husna. Lakini hata akifanya siri halafu Khadija aje agundue na kwa hiari yake asikwazike sana still mimi sina tatizo hapo.

Lakini usije na habari za eti mumeo ni okay akimega changudoa lakini si sawa akiwa na nyumba ndogo halafu at the same time unajifanya unapinga infidelity kwa nguvu zako zote. Ukifanya hivyo mimi nakuona hujielewi na huna msimamo.

Lakini mwisho wa siku to each his/her own. Kama mtu unaweza kuzivumilia BS za mwenzio hiyo ni juu yako.
 
nyie watu mbona mnaongelea mambo magumu halafu hammalizi what is the cönclusion here?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…