S Senator p JF-Expert Member Joined Oct 27, 2011 Posts 282 Reaction score 43 Jun 16, 2012 #1 Umri wangu kati ya miaka 21-25,kama kichwa hapo juu kinavyoeleza.Awe na umri kat ya miaka 18-20.sifa tabia nzur mengneyo hayana nafas kwngu ila tabia 2.
Umri wangu kati ya miaka 21-25,kama kichwa hapo juu kinavyoeleza.Awe na umri kat ya miaka 18-20.sifa tabia nzur mengneyo hayana nafas kwngu ila tabia 2.
Mtalingolo JF-Expert Member Joined Aug 4, 2011 Posts 2,181 Reaction score 410 Jun 16, 2012 #2 Kilalakheri mkuu...
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,767 Reaction score 23,198 Jun 16, 2012 #3 loh! Kila la kheri
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,917 Jun 16, 2012 #5 All the best
Vegetarian JF-Expert Member Joined Apr 7, 2012 Posts 654 Reaction score 509 Jun 16, 2012 #6 Senator naona umeamua kufanya maamuzi mazito. Kila la heri mdogo wangu BUT uwe makini sana na 'dating' za online. Majority are not serious.
Senator naona umeamua kufanya maamuzi mazito. Kila la heri mdogo wangu BUT uwe makini sana na 'dating' za online. Majority are not serious.
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,058 Reaction score 2,195 Jun 17, 2012 #7 Kila la heri ndugu.
MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,856 Jun 17, 2012 #8 Umri wangu kati ya 21-25, pia umri wako huna hakina nao. Senetor, inabidi umpe ndugu yako tips ya kupata wachumba JF. All the best, Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Umri wangu kati ya 21-25, pia umri wako huna hakina nao. Senetor, inabidi umpe ndugu yako tips ya kupata wachumba JF. All the best,
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,767 Reaction score 6,575 Jun 17, 2012 #9 kila ninapo soma hii forum sijawahi ona mtu akipost kafanikiwa sijui kwa nini... 😛opcorn: :juggle:
Yummy JF-Expert Member Joined Sep 26, 2011 Posts 1,796 Reaction score 1,337 Jun 17, 2012 #10 ndetichia said: kila ninapo soma hii forum sijawahi ona mtu akipost kafanikiwa sijui kwa nini... 😛opcorn: :juggle: Click to expand... Kwakweli hata mimi nahamu kweli ya kujua kama huwa wanafanikiwa! Mi naona wanafanya masihara tu na matangazo yao.
ndetichia said: kila ninapo soma hii forum sijawahi ona mtu akipost kafanikiwa sijui kwa nini... 😛opcorn: :juggle: Click to expand... Kwakweli hata mimi nahamu kweli ya kujua kama huwa wanafanikiwa! Mi naona wanafanya masihara tu na matangazo yao.
Bishanga JF-Expert Member Joined Jun 29, 2008 Posts 15,321 Reaction score 10,075 Jun 17, 2012 #11 Yummy said: Kwakweli hata mimi nahamu kweli ya kujua kama huwa wanafanikiwa! Mi naona wanafanya masihara tu na matangazo yao. Click to expand... Hujambo Yummy?
Yummy said: Kwakweli hata mimi nahamu kweli ya kujua kama huwa wanafanikiwa! Mi naona wanafanya masihara tu na matangazo yao. Click to expand... Hujambo Yummy?