natafuta mpenzi ambaye baadaye atakuwa mke wangu

natafuta mpenzi ambaye baadaye atakuwa mke wangu

mbisom ramos

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
811
Reaction score
396
umri wangu ni miaka 27 niko chuo kikuu mwaka wa 3,natafuta msichana ambaye atakuwa mke wangu hapo baadae!!!!!!!! yeyote aliye tayari ani PM
 
Yaani hapo chuo umekosa hata first year wa kumfanya mchumba? Hauko serious wewe.
nadhani mapenzi ya chuo unayafahamhu yalivyo!!!! ni mapnzi yanayoshamiri kipindi cha boom tu baada ya hapo kwishney!!!!!!
 
Back
Top Bottom