Hey There
Senior Member
- Nov 12, 2023
- 120
- 372
Moderator usifute neno mbagala kwenye Tittle.
Sina mambo mengi ninaweza penda mwanamke yeyote just awe anaonekanika tu (Uzuri Basic), Awe anaishi Mbagala hili isiwe shida kuonana na kuseti hatua nyengine.
Sifa nyengine asiwe na mtoto, Umri asizidi 27.
-----------
Kwa wakati huu nahitaji mpenzi tukiendana mpaka mwakani tuwe na ndoa au mtoto (Kimoja kati ya viwili au vyote).
-----
1) We mpenzi nicheki tu PM niwekee na nambako
2) Tutumiane picha wasap
3) Tutaonana Cafe
4) Penzi linaanza
Very simple