Wadada wa mbagala mnaitwa hapaa, kuna kijana ana jambo lake kwenu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mlilalamika sana warembo wa Dar live,sasa tumewafikia.....Kama nawaona vile wanavyokanyagana😂😂😂Moderator usifute neno mbagala kwenye Tittle.
Sina mambo mengi ninaweza penda mwanamke yeyote just awe anaonekanika tu (Uzuri Basic), Awe anaishi Mbagala hili isiwe shida kuonana na kuseti hatua nyengine.
Sifa nyengine asiwe na mtoto, Umri asizidi 27.
-----------
Kwa wakati huu nahitaji mpenzi tukiendana mpaka mwakani tuwe na ndoa au mtoto (Kimoja kati ya viwili au vyote).
-----
1) We mpenzi nicheki tu PM niwekee na nambako
2) Tutumiane picha wasap
3) Tutaonana Cafe
4) Penzi linaanza
Very simple
🤣🤣🤣Very simple
😂😂 We jamaa Sema unataka nyapi ya bei rahisi usipate gharama ya nauli!! Na wa mbagala walivyo hoi mbona utawapata wengiModerator usifute neno mbagala kwenye Tittle.
Sina mambo mengi ninaweza penda mwanamke yeyote just awe anaonekanika tu (Uzuri Basic), Awe anaishi Mbagala hili isiwe shida kuonana na kuseti hatua nyengine.
Sifa nyengine asiwe na mtoto, Umri asizidi 27.
-----------
Kwa wakati huu nahitaji mpenzi tukiendana mpaka mwakani tuwe na ndoa au mtoto (Kimoja kati ya viwili au vyote).
-----
1) We mpenzi nicheki tu PM niwekee na nambako
2) Tutumiane picha wasap
3) Tutaonana Cafe
4) Penzi linaanza
Very simple
😅😅Au ulikua unanichora nilivyokuwa na piga fix ChoiceVariableMkuu hivi zile bas zako zinapiga route ya wapi
Maisha ndiyo haya haya😅😅Au ulikua unanichora nilivyokuwa na piga fix ChoiceVariable
Si unajua jf wote mabilionea
Cc : ephen_
UnyamaMaisha ndiyo haya haya
Unyama mwingiUnyama
ephen_ nina wivu ujueUzuri nilishasema humu, naishi Mbagala