Natafuta mpenzi au mke mwenye VVU

M2 makiniy

Member
Joined
Sep 18, 2022
Posts
10
Reaction score
13
Habari zenu waungwana,

Mimi naitwa Ashiraph umri miaka 30. Naishi Kahama natafuta mwenza aliye serious. Mimi ni mwathirika wa VVU natamani nipate mke mwenye hali kama yangu ili tuishi kwa pamoja.

Ni mwajiriwa pia na biashara zangu

Ambae yuko tayari anipigie sim 0753360886
 
Picha yako pls[emoji120][emoji120]
 
Hukosi wengi
 
M2 humu Jf kuna wadada wengi ni HIV positive ambao wameanzisha thread za kutaka wenza HIV + so utapata

Kila mtu ana haki ya kuwa na mwenzake...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…