NATAFUTA MPENZI (awe kati ya 35 -45 miaka)

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Salamu za Pasaka
Najitokeza kutafuta mpenzi mwenye umri kati ya miaka 35 mpaka 45, awe mkristo, mwenye mwili/mnene, anaejiheshimu, na anayependa kujibidisha hususan katika biashara, awe tayari kupima UKIMWI. email yangu joshuaokelo@gmail.com. Asante.
 
All the best Bro utapata kile unachotaka, umenifurahisha hapo uliposema kupima UKIMWI ni jambo la muhimu kwa dunia ya leo. Pasaka njema
 
Niambie rafiki ulirudi Nairobi? hata hatutafutani mkuu........
 
Nakutakia kila la heri kumpata mwenza wako ila uwe makini na wanawake wa JF wengi ni matapeli watakula hela zako na wakuache hoi
 
Sina hakika kama utapa mchumba maana umri huo unaotafuta wameshaolewa,, pole sana kwa upweke!
 
Oimole Okelo. NADHANI UTAKUWA NA MIAKA 50 KWA SASA,UMESHAZOEA KUWA ALONE UKIZINGATIA UMEBAKIZA MIAKA MICHACHE ZAIDI YA KUISHI KULIKO ULIYOKWISHA KUISHI.Mi nakushauri kuwa ISHI HIVYO HIVYO NA RIDHIKA NA HALI HIYO ULIYONAYO. Elokamano.
 
Kwa umri huo wako wengi ila kubali kulea watoto wa wenzio.
 
umri 35-40 huyo si bibi kabisa nenda makanisani na misikitini utawapata
 
Last edited by a moderator:
Oimole Okelo. NADHANI UTAKUWA NA MIAKA 50 KWA SASA,UMESHAZOEA KUWA ALONE UKIZINGATIA UMEBAKIZA MIAKA MICHACHE ZAIDI YA KUISHI KULIKO ULIYOKWISHA KUISHI.Mi nakushauri kuwa ISHI HIVYO HIVYO NA RIDHIKA NA HALI HIYO ULIYONAYO. Elokamano.
Unaweza kututhibityishia pasopo shaka kuwa wewe umebakiza muda gani wa kuishi?

Kufuru nyingine zinavuka mipaka!!

Eeh Mungu msamehe mtumishi wako huyu kwakuwa hajui alisemalo. AMINA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…