Natafuta mwanamke ,mpenzi ,mchumba.
Mimi sifa yangu kubwa awe na hofu ya Mungu,na asiwe muongeaji sana tafadhari.
Mimi ni mweusi,mwenye urefu wa wastani..si mrefu na wala si mfupi,
Dini... mkristo
Kazi ..muajiriwa kampuni binafsi
Elimu ... Master
Age .....30
Location.... Sumbawanga
UMRI WA mwanamke uanzie 25 hadi 45, mwanamke nataman awe Sumbawanga au mikoa ya jirani
Ambae yuko tayari aje DM