Ngoja niwacheki wakina Atu,kisa,bupe,Tuntu wakucheki fasta.Hahahah! Ushirika nyumbani kabisa brother
Hapo ulipotaja duka la simu huwezi kukosa mwanamke ila mke utakosa, siyo kwa kizazi hiki cha nyoka.Kama header inavyojieleza,mimi ni kijana wa miaka 25 asili yangu ni Mnyakyusa lakini makazi yangu rasmi ni Dar.
.Elimu😀egree
.Kazi: Nimejiajiri,nina duka la simu.
Natafuta mwanamke kwa ajili ya kuwa kwenye mahusiano serious. Umri kuanzia miaka 19-26.
NB; Uwe Dar.
PM kwa ajili ya kupeana mawasiliano