Natafuta mpenzi, mchumba wa kike

the host

Member
Joined
Oct 5, 2017
Posts
12
Reaction score
3
Habari za wakati wapendwa ?
Ni matumaini yangu mu wazima wa Afya !

Natafuta mpenzi wa kike anaeishi Dar, awe mchumba na hatimae mke wangu .

Awe mrefu kiasi , mwembamba wastani , mwenye nidhamu na mwenye upendo wa dhati .

Mimi ni Mrefu wa futi 5.8 na mwembamba kiasi .
Naishi Dar K/nyama , kitaaluma ni Mwanahabari & Mwanasaikolojia .

Kwa yeyote aliye tayari karibu PM , Ahsanteni !!
 
Nenda pale kwa wazee wa suti kwenye maghorofa yao kuna wadada wa suti wapya kamatia mmoja.
 
Yaani mchumba wewe kigezo chako ni awe dar na awe mwembamba kidogo baaaasi!!
 
Yaani mchumba wewe kigezo chako ni awe dar na awe mwembamba kidogo baaaasi!!
Yaani mchumba wewe kigezo chako ni awe dar na awe mwembamba kidogo baaaasi!!
Awe mrefu kiasi , mwembamba wastani , mwenye nidhamu na mwenye upendo wa dhati .

Soma vizuri ndugu , hivyo ndio vigezo vyangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…