Aisee nilikua nampendaga pia Geez hasa ule wimbo wake ''mtoto wa kiume''. R.I.P mabovuMungu akutangulie katika hilo.
Jina lako limenikumbusha mwana HipHop Geez - Mabovu(R.I.P)
Kama mpenzi wa muziki wa hiphop ninazipenda nyimbo zake japo zipo chache na style ya uimbaji wake pia.
NakumbushiaKama heading inavyoeleza hapo juu
Sifa zangu
Kijana wa kiume 26yrs
Mrefu
Nimeajiriwa
Christian
Muaminifu
Upendo wa kweli
Sifa za ninaye muhitaji
Msichana
Umri 20-25yrs
Awe anashughuli ya kufanya
Mwenye upendo wa kweli
Aliye tayari kuwa na mahusiano ya kuelekea ndoa
Mkristo
Akiwa anaishi Dar ni vizuri zaidi
Ni PM tuweze kuongea zaidi
Ahksante.
Jamani hajapatikana bado.Kama heading inavyoeleza hapo juu
Sifa zangu
Kijana wa kiume 27yrs
Mrefu
Nimeajiriwa
Christian
Muaminifu
Upendo wa kweli
Sifa za ninaye muhitaji
Msichana
Umri 20-25yrs
Awe anashughuli ya kufanya
Mwenye upendo wa kweli
Aliye tayari kuwa na mahusiano ya kuelekea ndoa
Mkristo
Akiwa anaishi Dar ni vizuri zaidi
Ni PM tuweze kuongea zaidi
Akhsante.