Kama heading inavyoeleza hapo juu
Sifa zangu
Kijana wa kiume 27yrs
Nina mwili kiasi
Mrefu
Nimeajiriwa
Christian
Muaminifu
Upendo wa kweli
Sifa za ninaye muhitaji
Msichana
Umri 20-26yrs
Awe anashughuli ya kufanya
Mwenye upendo wa kweli
Aliye tayari kuwa na mahusiano ya kuelekea ndoa
Mkristo
Akiwa anaishi Dar ni vizuri zaidi
Ni PM tuweze kuongea zaidi
Akhsante.