Habari wana JF.mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 34,elimu ya kidato cha sita,mkulima na mfugaji,maji ya kunde,mrefu,mkristo,mwelewa na mnyenyekevu,mpole,mpenda maendeleo kihalali.
Msichana ninayemtaka awe mpenzi wangu na hatimaye mke wangu awe na sifa zifuatazo;mwenye elimu ya kidato cha nne na kuendelea,mwenye mapenzzi ya dhati,mwelewa,mkarimu,mchacharikaji na mwenye kujitegemea,kabila lolote,dini awe mkristo ila dhehebu lolote,asiwe na mtoto,umri wowote lakini si chini ya miaka 22.
Mwenye kuvutiwa nami tafadhali naomba anitumie ujumbe binafsi (pm) nami nitamjibu mara moja.
N
Wasichana mnakaribishwa wote lakini sipendi na wala sitaki mabinti wenye mapenzi ya runinga.