Natafuta mpenzi mwaminifu!!

makirikiri-2

Member
Joined
Jun 17, 2011
Posts
20
Reaction score
2
Mimi ni mkaka, mwaminifu,nina umri wa miaka 42,namtafuta mdada mwenye umri kati ya 22-35 awe mpenzi wangu,napendelea wadada weupe,lakini wasiojikirimu (wasiojichubua)weupe wao uwe natural,au akiw mweuisi asipake mkorogo,atakayekuw tayari tuwasiliane kwa e-mail hii mushi.ricmond76@gmail.com,au ani pm,natanguliza heshima mbele kwenu wakuu.
 
utapata mkubwa komaa wapo wengi sana hata wana JF wa kike wamejaa tele na wana mvuto wa kutosha
 
Yaani we kwa umri wako bado unajiita mkaka! Makubwa!
 
yaani unatafuta mwaminifu JF?

HUWEZI PATA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…