mimi ni shangazi yako sifai kua mkeo kwa umri huo ntakubemenda buream 19 ,mimi ni mfanya kazi wa kukodisha au kibarua elimu yangu form four
Nakuombea upate hitaji la moyo wakoJamiiForums habarizenu,
Naitwa Hassan, natafuta mpenzi mwenye hekima, upendo, mwanamke na mcheshi.
Una hela?JamiiForums habarizenu,
Naitwa Hassan, natafuta mpenzi mwenye hekima, upendo, mwanamke na mcheshi.
OK. UNATAFUTA VITU AMBAVYO WEWE HUNA.JamiiForums habarizenu,
Naitwa Hassan, natafuta mpenzi mwenye hekima, upendo, mwanamke na mcheshi.