MPIKUSASA
Senior Member
- Mar 26, 2013
- 112
- 6
mimi ni kijana wa miaka33, rangi ya maji ya kunde,mrefu wastani,nimejaa wastani,mcheshi na mwongeaji, ni mwajiliwa wa sirikali,pia ni mjasiriamali. Napenda mapenzi huru, kwa hiyo naingia katika mjengo huu wa jf kutafuta mpenzi mwenye sifa zifuatazo, awe na elimu kuanzia kidato cha sita na kuendelea, slim figure, awe na uwezo kiuchumi wa kuweza kujihudumia mwenyewe na mtu mwtngine. awe huru kutoka bila ya kizuizi chochote muda wowote isipokuwa kwa sababu zenye kuleta matokeo hasi.