Natafuta mpenzi, mwenye mapenzi ya kweli

Dancan

Member
Joined
Aug 6, 2013
Posts
52
Reaction score
9
Habari zenu?
Natafuta mpenzi ambaye atakuwa na mapenzi ya kweli,umri wangu ni 23,mimi ni mwanafunzi wa chuo flani.rangi ni maji ya kunde,urefu kiasi,
*sifa za ninayemhitaji awe:
Rangi:maji ya kunde au mweupe
Elimu:haina umuhimu
Mkoa: awe anatokea arusha au kilimanjaro(samahani hii nikutokana na umbali)
Umri:asizidi 22
mengine tutafahamishana zaidi.
Mawasiliano: Dancandancan39@yahoo.com au ani PM
muhimu:awe mcha mungu.
Wanajamvi nipo serious sitanii
 
Mpenzi wa kike au wakiume? Wenzako wanaweka elimu na dini mbona wewe hujaweka hayo?
 
Mpenzi wa kike, elimu,kabila na dini havina tija la muhimu ni awe na mapenzi ya dhati kwangu,tupendane bila kujali hali ya maisha.
 
Mbona wewe huna mapenzi ya kweli?

Laiti kama ungekuwa na mapenzi ya kweli ungeshampata mwenzio hapo hapo chuoni na usingekuja hapa jf

Mimi ninayo mapenzi ya kweli ila sikupi,
 
Mpenzi wa kweli hatafutwi
 
Km ni Mwanafunzi wa chuo fulani ungekanyaga mafuta kwenye Book maana umesikia wenzako wanavyoDISCO km UDSM?
humu JF wengi watakumalizia vi vocha vyako bora F/B utampata hata kwa sura
Ngoja watakuPM
 
Km ni Mwanafunzi wa chuo fulani ungekanyaga mafuta kwenye Book maana umesikia wenzako wanavyoDISCO km UDSM?
humu JF wengi watakumalizia vi vocha vyako bora F/B utampata hata kwa sura
Ngoja watakuPM

nashukuru kwa ushauri wako,ila elewa kuwa sio mapenzi tu yanasababisha mtu adisco,
 
Mbona wewe huna mapenzi ya kweli?

Laiti kama ungekuwa na mapenzi ya kweli ungeshampata mwenzio hapo hapo chuoni na usingekuja hapa jf

Mimi ninayo mapenzi ya kweli ila sikupi,

elewa sipendi kuwa na mpenzi chuo kimoja,
 
Mpenzi wa kike, elimu,kabila
na dini havina tija la muhimu ni awe na mapenzi ya dhati
kwangu,tupendane bila kujali hali ya maisha.

Ni-PM mie....natafuta mchumba kwa muda mrefu cjapata honey...
 
mh! mm mwa nimekosa maana napenda mweupe wa asili, alafu nilijaribu kuwa na wa maji ya kunde moyo hautaki kabisa cjui nifanyeje!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…