Natafuta Mpenzi nimechoka kuwa mpweke

Natafuta Mpenzi nimechoka kuwa mpweke

kantananati

Member
Joined
Dec 11, 2019
Posts
14
Reaction score
30
Kama Kichwa cha nyuzi kinavyosema.Natafuta Mpenzi ili baadaye awe kuja kuwa mke.

Sifa zangu;

Jinsia Me
Umri 30
Kazi Muajiriwa
Kimo Sio mrefu wala mfupi
Elimu yangu. Shahada ya kwanza

Ninayemtafuta

Asiwe mnene sana
Rangi yeyote
Shape iwe tu ya kike.
Urefu wa kawaida
Elimu kuanzia Diploma

Awe anaishi Dar au Pwani

Akiwa mwanafunzi wa chuo atapewa kipaumbele zaidi


Karibu PM.
 
Aiseeee happy kwenye diploma unataka kunipa posho kulingana na elimu yangu vipi akijitokeza mwenye PhD kama mbili hivi
 
😂Yaani ili mradi anasoma chuo chochote?
Unataka kumsaidia assignments?
Unajua vyuo vipo vya steji mbalimbali mpaka postigradueti?
Akiwa mwanafunzi wa chuo atapewa kipaumbele zaidi
 
Back
Top Bottom