Natafuta mpenzi wa kike aliyenizidi miaka 3 hadi 5

Natafuta mpenzi wa kike aliyenizidi miaka 3 hadi 5

HB.com

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2015
Posts
608
Reaction score
639
HABARI!

Jamani ndugu zangu, natafuta mpenzi wa kike

Mimi ni kijana wa Kitanzania umri miaka 21,

Nahitaji mpenzi awe amenizidi miaka 3-5, lakini sio kigezo cha muhimu sana, Ata akiwa wa umri Kama wangu sio mbaya saaaana. Sita jali Dini, kabira, wala colour

Sio kwamba mtaani nimekosa hapana ni maamuzi yangu tu kuja kutafuta humu

Kwa msichana/binti/Mwanamke yeyote aliye tayari Aje PM/inbox

NATANGULIZA SHUKURANI!
 
Back
Top Bottom