Natafuta Mpenzi wa Kike

guzman_

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2016
Posts
1,268
Reaction score
2,330
Hamjambo humu
Kwa dada aliye free kuanzisha mahusiano let see if tunaweza kuwa
Uwe Dar most preferred, umri 25 na kuendelea..
elimu form Four au zaidi na uwe tayari kupima HIV
Nawasilisha na karibuni
 
Kwamaana hiyo jig jig imo!!![emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Wanakuja mkuu.. Ila sasa kitakachokupotezea wachumba niuto tumaneno tunne.

*awe tayari kupima HIV*. Hapa wengi n [emoji42][emoji42]
 
Umeambiwa awe tyr kupima HIV. Unadhan kipimo hicho ni ili waone km wanafit kunywa uji pamoja??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…