Natafuta mpenzi wa kike

trapetico

Member
Joined
Dec 14, 2017
Posts
21
Reaction score
16
Nina miaka 25, Mkristo na nimejiajiri ninatafuta mpenzi awe umri kuanzia 20 mpaka 27. Awe dini yoyote ila awe tayari kubadili endapo tutaoana. Awe na urefu wa wastan kuanzia 145cm mpaka 160cm asiwe kibonge.

Awe wa umbo la saizi ya kati ila lililo nyumbulika vema.Awe tayari kufanya mazoezi maana ninapenda mazoezi na awe mkweli na muwazi wakati wote.

Asanteni sana kama yupo asisite kunitumia sms inbox au ku comment nitamtafuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…