Mimi ni kijana wa kiume umri Napata 23 nimemaliza chuo kikuumwaka huu makazi yangu ni dare s salaam,nilkuwa na mpenzi wangu ila kutokana na kutokuwa mwaminifukwangu nimeachana nae nimejaribu kukaamwenyewe kwa kuogopa kuumizwa tenanaona kama vile najizidishia mawazo nakujiumiza so nimeona bora nitafute mwenza sio kwa sababu ya kuniliwaza but nikwa sababu nahitaji mwenza kwa umbile nimrefu,mweusi kidogo mkarimu namcheshi,umri ni vyeema asiwe mbali na mimi hata akinizidi kidogo sio mbaya nipo more than serious katikahili ukiona tunaweza kuwa wote(lovers to fiancée may be) please ni PM kwa mawasiliano zaidi thanx