Natafuta mpenzi wa kutengeneza nae njia ya kuelekea Ndoani.

Natafuta mpenzi wa kutengeneza nae njia ya kuelekea Ndoani.

Kylian D

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2018
Posts
206
Reaction score
358
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza.

Natafta mwanamke ambae yupo tayari kuanzisha nae mahusiano ambayo Mungu akijaalia tutaoana maana ndoa inatengenezwa na mahusiano kwanza.

Sifa zangu ni Kijana mtu mzima, age 28
Ni muhitimu wa chuo kikuu kwa sasa nafanya kazi ya ufugaji wa kuku ila si mali yangu nafuga tu kuchukua ujuzi yaani ni kama shamba darasa.

Mie ni mkristu sina ubaguzi wa dini wala kabila wala elimu, kikubwa tu mpenzi wangu mtarajiwa uwe tayari kuchakarika maana sina maisha ndio nami nayatafta.

Karibu sana kwa uliye tayari
 
Kila la heri mtoto mzuri Mungu akupatie karembo kenye tabia njema
 
Subiri hapo hapo mpuuzi wewe...kila siku tunaambiana humu tuwadanganye kwanza badae ndo tuseme ukweli we unatugeuka[emoji51][emoji51]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Subiri hapo hapo mpuuzi wewe...kila siku tunaambiana humu tuwadanganye kwanza badae ndo tuseme ukweli we unatugeuka[emoji51][emoji51]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ungeandika tu kistaarabu ningekuelewa ila sio kunitukana, sasa hapa sijui mimi na wewe mpuuzi ni nani. Nakusamehe bure
 
Back
Top Bottom