Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza.
Natafta mwanamke ambae yupo tayari kuanzisha nae mahusiano ambayo Mungu akijaalia tutaoana maana ndoa inatengenezwa na mahusiano kwanza.
Sifa zangu ni Kijana mtu mzima, age 28
Ni muhitimu wa chuo kikuu kwa sasa nafanya kazi ya ufugaji wa kuku ila si mali yangu nafuga tu kuchukua ujuzi yaani ni kama shamba darasa.
Mie ni mkristu sina ubaguzi wa dini wala kabila wala elimu, kikubwa tu mpenzi wangu mtarajiwa uwe tayari kuchakarika maana sina maisha ndio nami nayatafta.
Karibu sana kwa uliye tayari