Mzee wa Malengo
Member
- Jul 29, 2022
- 21
- 42
Kwa kifupi kuna mengi ambayo nimefikiria mpaka kuandika Andiko hili
Kama utaona kuna binti au linakufa wewe mwanamke basi pm yangu iko wazi
Na ni serious
Kwa kifupi
Mimi ni kijana umri miaka 28, ninaishi katika moja ya wilaya mkoani mbeya
Nimeajiriwa kampuni binafsi na pia ninajishughulisha na shughuli zangu zingine.
Ni Mkristo mkatoliki na pia sina mtoto
Natafuta mwanamke au binti mwenye vigezo hivi hapa chini
*Umri 22-27
*Elimu amemaliza kidato cha nne au hata kama amefika chuo akamaliza
*awe amejiajiri/ ameajiliwa au yupo bado masomoni
*Asiwe na mtoto
*Dini awe mkristu, msabato n.k ila asiwe wale walokole wenye misimamo mikali na kusikiliza sana manabii wao
* awe mwenye kujielewa mkarimu na mwenye malengo
*awe anaishi mkoani mbeya katika wilaya yoyote ile
Kama kuna maswali nakaribisha pm iko wazi au unaweza uliza hapa
Asanteni na muwe na siku njema