tmasi de masio
Member
- Jun 16, 2012
- 55
- 7
- Thread starter
-
- #21
young, amechoka, anatafuta pumziko kwa mpenzi!!
jamani JF members, hebu basi pamoja na kuchekesha mtuonee huruma mbavu zetu
hivi wewe unauza uhandsome, mtoto wa kuime, halafu unategemea upate mshichana anaependa sura aje akupumzishe?? kweli? yani nsichana yuko serious na mahusiano aje kwako kwa kuwa handsome?
kama umetendwa, unadhani ni kwa nini?
Asante kwa burudani
Nmetendwa coz nina vyuma kwenye nyonga so sizungush vizuri.
pole sana
Maku kibuyu,ngemse ww, co kla status uchangie,ukiona hapakuhusu sepa.
Nmetendwa coz nina vyuma kwenye nyonga so sizungush vizuri.
We dogo unayetafuta mchumba, huu umri wako ni wa kutafuta hela, mashimo haya hayajai hata siku moja. Kuanzia babu yako hakuna aliyeweza kuyajaza. My take, either usome zaidi kama umeenda kidato kidogo au fanya bussiness zaidi upate hela, wanawake siku hizi hela baba. Inaonekana wewe unataka demu wa kukulea. Acha ulamba lipstick wewe dogo.
Punguza jazba dada yangu,ninakuheshimu kama demu wangu,ila wewe ndiyo hauelewi tu.
umeshatendwa sana sasa ni muda wa kujishughulisha na mambo mengine kama ni mchumba utampata lakini sio kwa haraka kama unavyotaka la sivyo utaendelea kutendwa..... pole mkuu kila la heri
vyuma kwenye nyonga,pia hauzungushi vizuri.Basi wewe ni shoga chipukizi
young and fresh eh?
Mambo mengne kama yapi maana kila kitu nnacho,kama bado unatafuta umechelewa.
hongera kwa kuwa na kila kitu
Hahaha.... nafaham hilo.
Binadamu kwa mapenzi ndio mana God akaweka speed gavana (UKIMWI) Soma kwanza dogo kwa umri wako bado hauko well experienced still you have long way to go in mastering these issues.
Unanitukana kana kwamba ni mm pekee na wa kwanza kutupia status kama hii, Imetosha matusi yako,jiheshimu.We unaelekea hata ukiambiwa kuolewa huwezi kukataa
miaka 22 utaumizwa sana mpaka shahawa zikuishe
mbata zako myfuuuuuuu