Natafuta mpenzi

kenny92

New Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
2
Reaction score
0
naitwa kenedy natafuta mpenz awe mweupe au maji ya kunde.miaka 18-23.ntampenda kwa dhati.thanks
 
mabata madogo dogooooo yanaogeleaaaaaaaaaaaa yanaogeleaaa katika shamba zuuuuuri la bustaniiiiiiiii....yanapendaaaaaaaa ku.......!!!!!
 
ah ah ah uwiiii huu wimbo umenikumbusha mbali sanaaaaaaaaaaaaa,mkono mmoja unaweka kwapani eeeh?

naaaaam!
na kamguu kakushoto unakakenyua kwa juu kidogo!!!!!:music:!!!!!
 
Kwanza Salimia Kijana au mtoto maana umeingia bila hodi

Okay wewe nenda facebook utawapata na sio humu.
 
Ukuti.... Ukuti, Wa umeme wa umeme... Waingia upepo watetema tema tema.. waingia upepo watetema!!!!!!!!!!!
 
gari bovu, gari bovu
linapita, linapita..........
 
mabata madogo dogooooo yanaogeleaaaaaaaaaaaa yanaogeleaaa katika shamba zuuuuuri la bustaniiiiiiiii....yanapendaaaaaaaa ku.......!!!!!

Wanapenda kulia kwa kwa kwa kwa kwakwaaaaaaaaaaaaaaaaaa la la la la la la? thats Rose bwana,me like you! umenikumbusha mbali jamani.
 
naitwa kenedy natafuta mpenz awe mweupe au maji ya kunde.miaka 18-23.ntampenda kwa dhati.thanks

Wewe bado mtoto subili ukue kue hii michezo ya kikubwa inawenyewe
 
Ukuti.... Ukuti, Wa umeme wa umeme... Waingia upepo watetema tema tema.. waingia upepo watetema!!!!!!!!!!!

maua mazuuuri yapendezaaaaaaaaaaaa...ukiyatzamaaaaaaaaa yanachekeleaaaaaaaaa.....HAKUNA HATA LIMOJA LINALOKUNUNIA.:A S 465::A S 465:
 
Wanapenda kulia kwa kwa kwa kwa kwakwaaaaaaaaaaaaaaaaaa la la la la la la? thats Rose bwana,me like you! umenikumbusha mbali jamani.

Nmekukumbusha kule shule ya MAZIWA?kwa masista au sisiemu?
 
Jamani tuliosoma internationals tunawaachia wana wa uswahilini wakituimbia ma 'ukuuti ukuuti' yao
Nasisi tujikumbushe na twinkle twinkle little stars..how i wonder wat u r
 
OYAAA WADAU MBONA MNAMMAIND MCHIZI KIVILE?
MSELA ANATAFUTA MREMBO NYIE MNA MLETEA ZA VILE SIO ISSUE HIZO BANAA

YouTube - DJ Babu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…