Natafuta mpenzi

Wanapenda kulia kwa kwa kwa kwa kwakwaaaaaaaaaaaaaaaaaa la la la la la la? thats Rose bwana,me like you! umenikumbusha mbali jamani.

umekumbuka kindergarten au darasa la kwanza? hahahahahaha yanapenda kutembea bila viatu bila viatu katika shamba zuri la bustani.

 
OYAAA WADAU MBONA MNAMMAIND MCHIZI KIVILE?
MSELA ANATAFUTA MREMBO NYIE MNA MLETEA ZA VILE SIO ISSUE HIZO BANAA

YouTube - DJ Babu

aaaaaaaaaaahhhhh babu sio kiivo lazima mtu akaribishwe kwanza ye kichwa kichwa tu atapata koroma......ohooooooooo ila dogo aaache hizo,,, Lazima akue ndo maaana akina dada zetu badala ya kujitokeza wameamua kumpeleka enzi ziiiiiiiiiiiiiiile.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…