Natafuta mpenzi

The Eclipse

Member
Joined
Apr 21, 2017
Posts
12
Reaction score
11
Habari zenu wanajamvi...!!!

Mimi ni mvulana rijali kabisa na nimekuja mbele yenu wanajamvi kwa ajili ya kutafuta mpenzi simple kabisa na mwenye vigezo vifuatavyo..;

1:Awe na miaka 18 na kuendelea.
2:Kabila yoyote ile.
3:Awe anajua kusoma na kuandika.
4😀ini yoyote ile.
5:Awe na mapenzi ya dhati na anayejua
nini maana ya mapenz na nini maana ya
Kuwa na mwanaume.

Elimu yangu niya chuo kikuu,nimeajiliwa na pia nimejiajili.

Umri wangu ni miaka 30.

Napatikana mwanza na kwa yoyote aliyotayari kuanza safari hii ya matumaini na mimi ani pm.

Asanteni sana na karibuni sana.

Nawasilisha.
 
Ivi 18yrs wewe wa 30 unajifunza nini au unatafuta nini usomuwacha akasoma,sema kuanzia 25 usiwaharibu watoto wawenzio....
 
Mkuu the eclipse karibu jukwaani tuzoeane kidogo hii sio love match. com.
 

Acha kumkatisha tamaa atapata tuu
 
UtaMpata tu, lengo lako tunalijua...

Nakushauri weka na bank statement yako, Miss Chagga fasta utamuona PM
 
miaka 18 ndio kwanza yupo form 4 mpaka 21 atakuwa anamaliza advance level
we 30yrs unataka 18yrs huu ni unyanyasaji wa kijinsia mkuu
 

Si kweli,
 
yaani kujiunga na kujiunga unasaka mpenzi ungetulia uangalie tu wangekutongoza wenyewe cha msingi uweke avatar nzuri ya kuvutia halafu comments zako ziwe za kimatwi ya juu hahaha fasta unapata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…