Natafuta mpenzi

Madihani

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2015
Posts
6,154
Reaction score
7,083
Mimi mwanaume miaka 32 naishi Dar.
Nahitaji mwanamke umri kuanzia 18yrs hadi 40yrs awe mkazi wa Dar.
Karibu PM mpenzi
 
Mungu akusimamie katika hitaji lako....
Otherwise, subiri waamke utaona PM zinaanza kwa heading za salam...[emoji5] [emoji5] [emoji5]
 
Itabidi nije na ID mpya ili nipate.
Hii ya zamani hapana
 
kwahiyo kuwowa hutakiii we awe mpenzi tu haya mkuu kila la kheri
 
kwahiyo kuwowa hutakiii we awe mpenzi tu haya mkuu kila la kheri
Mkuu, minataka kuwowa....
Vipi nafasi haija jaa..?
Lakini sitaki makinikia tafadhali....[emoji13] [emoji13]
 
nafasi imeshajaa me nimeshawolewa
Duhhhh......[emoji45] [emoji45] [emoji45]
Basi sawa, ngoja nisubiri mpaka itakapo achwa wazi
[emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
[emoji28][emoji28]unatafuta mpenz akati watu wanaangaika na kutafuta pesaaa asee......we endelea kutafuta mpenzi maana hata umri wako unaruhusu ila ukitaka wa haraka nenda kule FACEBOOK kule ndio utapata wa haraka....natafuta mpenzi....on my foot[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…