chiba philemon
Member
- Jun 24, 2017
- 31
- 9
Chiba hiyo avatar ni wewe kabisa ?
Sasa amesahau kusema anafanya kazi gani ànapokea sh ngapi unadhani watakuja??? Nawasichana wa siku izi wanavopenda magari (hajasema ata kama anamiliki mkoko)Utampata ngoja waje
Chiba hiyo avatar ni wewe kabisa ?
Wanakuja mkuu kila la kheri
Mimi huyu jerry ebu jaribu tena mbona pm me siitumii kabisa imefungwa na modsAfu we mtu pm yako imejaa au mbon hujibu?
Huamin auChiba hiyo avatar ni wewe kabisa ?
Mimi huyu jerry ebu jaribu tena mbona pm me siitumii kabisa imefungwa na mods
Pm kwangu hazifiki jerrySasa tunawezaje unganisha terminals tuwasiliane? Nimetuma pm kama mara 3 naona kimyaaa
Pm kwangu hazifiki jerry
Hayo mambo ya magroup ya jf me na hizo mambo sipatani nazo kabisa jerryDuh bas bht mbaya...haupo kwa whatsap grp la golden chini ya bi Valentino?
Hayo mambo ya magroup ya jf me na hizo mambo sipatani nazo kabisa jerry